Kuhusu sisi

 

         

               KUHUSU SISI


MyDukaOnline ni jukwaa la biashara mtandaoni linalowezesha ununuzi wa bidhaa kwa urahisi, kwa bei nafuu na kwa kuaminika kutoka Kwa wauzaji mbalimbali wa bidhaa mtandaoni. Tunaleta bidhaa kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni na kuwafikia wateja wetu bila usumbufu.

Huduma Tunazotoa

Malengo Yetu

- Kuwezesha kila mtu kununua na kuuza mtandaoni kwa urahisi na usalama.

- Kukuza biashara ya kidigitali Tanzania.

- Kutoa nafasi kwa vijana kuingia kwenye biashara mtandaoni.

- Kuwa duka la mtandaoni linaloaminika Afrika Mashariki.

-kuwaunganisha wafanyabiashara pamoja na wateja.

-kukuza uhusiano mzuri kati ya muuzaji na mnunuaji.


Neno la shukrani 

Tunathamini kila mteja wetu, na tunaamini uaminifu na huduma bora ndiyo msingi wa mafanikio ya biashara yetu.

Karibu sana E-ONLINE BUSINESS Kwa huduma bora zaidi kiganjani kwako.Kwa hakika wewe ni mfalme kwetu sheherekea huduma za kifalme kiganjani mwako.

EADRYC Robot