HUDUMA ZETU.
(Bofya huduma husika Ili kupata maelezo ya kina)
1.Uuzaji wa bidhaa mbalimbali mtandaoni.
2.Nafasi ya wauzaji kupost bidhaa zao.
3.Tunakuunganisha na wauzaji mbalimbali wa bidhaa mtandaoni.
4.Ofa na Punguzo za marakwamara Kwa wateja wetu
5.Huduma ya graphics design Kwa ajili ya logo,post na matangazo.
6.Kutoa elimu na kuwapa moyo wale wenye ndoto yakuja kuwa wafanyabiashara wakubwa
7.kutangaza bidhaa mbalimbali za wafanyabiashara kwenye blog yetu na mitandao yetu ya kijamii
8.Tunatengeneza blog Kwa wale wanaohitajia uwanda mpana wa kutangaza bidhaa zao/maudhui mbalimbali.
10.Tunatoa msaada wa kununua domain name (mfano mydukaonline.com) na kuunganisha kwenye blog.
11.Tunatohuduma ya kutengeneza pages na posts Kwa ajili ya blog husika
12.Tunatoa nafasi Kwa wafanyabiashara kuweka matangazo yao kwenye blog yetu ( banner ads)